Şarkıcı: Harmonize
|
Parça: Siwezi
Harmonize - Siwezi Altyazı (vtt) (02:52-172-0-en) (ÖN İZLEME)
......................................................................
....... FUL LİRİK & ALTYAZI İÇİN AŞAĞIDAKİ DÜĞMELERİ KULLANINI .......
......................................................................
WEBVTT
00:00:00.000 --> 00:00:00.000
by RentAnAdviser.com
00:00:02.100 --> 00:00:03.300
Yaw, yaw
00:00:04.200 --> 00:00:06.300
It's Konde Boy, call me number one
00:00:06.400 --> 00:00:08.100
Man of the night
00:00:08.200 --> 00:00:10.400
(Kimbambo on the beat)
00:00:10.500 --> 00:00:13.900
Omukwano mwenzako nishachoka
mashindano
00:00:14.000 --> 00:00:16.600
Mwili umekonda kilo tano
00:00:16.700 --> 00:00:19.300
Punde nitapita tundu la sindano
00:00:19.400 --> 00:00:24.700
Natamani nikuelezee how I feel
00:00:25.000 --> 00:00:30.300
Vipi nikubembeleze ujue
I'm for real (ah)
00:00:30.700 --> 00:00:34.500
Nikilewa nafanya vibweka,
watu wananicheka
00:00:34.600 --> 00:00:36.300
Ila wewe ndo chanzo
00:00:36.400 --> 00:00:39.700
Mi huku ndani ndani nateseka,
moyo umeuteka
00:00:39.800 --> 00:00:41.500
Huu sio wimbo, tangazo
00:00:41.600 --> 00:00:45.900
Siwezi iih-iih-iih
00:00:46.400 --> 00:00:50.900
Mi siwezi iih-iih-iih
00:00:51.100 --> 00:00:56.700
Nishajaribu siwezi iih-iih-iih
00:00:57.100 --> 00:01:02.000
Mi siwezi iih-iih-iih
00:01:13.900 --> 00:01:19.000
Mwenzako picha tu, nikiziona
nakwisha boo (boo)
00:01:19.100 --> 00:01:25.100
Nasikitika tu, hivi penzi ndo
lilikwisha puuh? (puuh)
00:01:25.200 --> 00:01:30.500
Nishalia nikanyamaza bado
sichoki kukuwaza
00:01:30.600 --> 00:01:34.900
Sina wa kuniliwaza, nimeshindwa
kujikaza
00:01:35.000 --> 00:01:40.000
Shamba nililiachia wapita njia,
sasa hivi wanalihudumia
00:01:40.100 --> 00:01:46.600
Wamelilimia nakupalilia, hadi
mazao yameshachipukia (yeah)
00:01:46.700 --> 00:01:52.000
Tulivaa hadi sare sare, couple
ilikuwa kale kale
00:01:52.100 --> 00:01:56.600
Yaani marafiki wale wale,
leo wanakula pale pale
00:01:56.700 --> 00:02:01.700
Siamini kwangu ulisepa, huko
unanenepa huna hata mawazo
00:02:01.800 --> 00:02:05.000
Mi huku ndani ndani natesek...........