Şarkıcı: Harmonize
|
Parça: Siwezi
Harmonize - Siwezi Altyazı (SRT) (02:52-172-0-en) (ÖN İZLEME)
......................................................................
....... FUL LİRİK & ALTYAZI İÇİN AŞAĞIDAKİ DÜĞMELERİ KULLANINI .......
......................................................................
0
00:00:00,000 --> 00:00:00,000
by RentAnAdviser.com
1
00:00:02,100 --> 00:00:03,300
Yaw, yaw
2
00:00:04,200 --> 00:00:06,300
It's Konde Boy, call me number one
3
00:00:06,400 --> 00:00:08,100
Man of the night
4
00:00:08,200 --> 00:00:10,400
(Kimbambo on the beat)
5
00:00:10,500 --> 00:00:13,900
Omukwano mwenzako nishachoka
mashindano
6
00:00:14,000 --> 00:00:16,600
Mwili umekonda kilo tano
7
00:00:16,700 --> 00:00:19,300
Punde nitapita tundu la sindano
8
00:00:19,400 --> 00:00:24,700
Natamani nikuelezee how I feel
9
00:00:25,000 --> 00:00:30,300
Vipi nikubembeleze ujue
I'm for real (ah)
10
00:00:30,700 --> 00:00:34,500
Nikilewa nafanya vibweka,
watu wananicheka
11
00:00:34,600 --> 00:00:36,300
Ila wewe ndo chanzo
12
00:00:36,400 --> 00:00:39,700
Mi huku ndani ndani nateseka,
moyo umeuteka
13
00:00:39,800 --> 00:00:41,500
Huu sio wimbo, tangazo
14
00:00:41,600 --> 00:00:45,900
Siwezi iih-iih-iih
15
00:00:46,400 --> 00:00:50,900
Mi siwezi iih-iih-iih
16
00:00:51,100 --> 00:00:56,700
Nishajaribu siwezi iih-iih-iih
17
00:00:57,100 --> 00:01:02,000
Mi siwezi iih-iih-iih
18
00:01:13,900 --> 00:01:19,000
Mwenzako picha tu, nikiziona
nakwisha boo (boo)
19
00:01:19,100 --> 00:01:25,100
Nasikitika tu, hivi penzi ndo
lilikwisha puuh? (puuh)
20
00:01:25,200 --> 00:01:30,500
Nishalia nikanyamaza bado
sichoki kukuwaza
21
00:01:30,600 --> 00:01:34,900
Sina wa kuniliwaza, nimeshindwa
kujikaza
22
00:01:35,000 --> 00:01:40,000
Shamba nililiachia wapita njia,
sasa hivi wanalihudumia
23
00:01:40,100 --> 00:01:46,600
Wamelilimia nakupalilia, hadi
mazao yameshachipukia (yeah)
24
00:01:46,700 --> 00:01:52,000
Tulivaa hadi sare sare, couple
ilikuwa kale kale
25
00:01:52,100 --> 00:01:56,600
Yaani marafiki wale wale,
leo wanakula pale pale
26
00:01:56,700 --> 00:02:01,700
Siamini kwangu ulisepa, huko
unanenepa huna hata mawazo
27
00:02:01,800 --> 00:02:05,000
Mi huku ndani ndani nateseka,
moyo umeut...........