Şarkıcı: Harmonize
|
Parça: Siwezi
Harmonize - Siwezi Lirik (LRC gelişmiş) (02:52-172-0-en) (ÖN İZLEME)
......................................................................
....... FUL LİRİK & ALTYAZI İÇİN AŞAĞIDAKİ DÜĞMELERİ KULLANINI .......
......................................................................
[00:00.00]by RentAnAdviser.com
[00:00.00]
[00:02.10]Yaw, yaw
[00:03.30]
[00:04.20]It's Konde Boy, call me number one
[00:06.40]Man of the night
[00:08.20](Kimbambo on the beat)
[00:10.50]Omukwano mwenzako nishachoka mashindano
[00:14.00]Mwili umekonda kilo tano
[00:16.70]Punde nitapita tundu la sindano
[00:19.40]Natamani nikuelezee how I feel
[00:24.70]
[00:25.00]Vipi nikubembeleze ujue I'm for real (ah)
[00:30.30]
[00:30.70]Nikilewa nafanya vibweka, watu wananicheka
[00:34.60]Ila wewe ndo chanzo
[00:36.40]Mi huku ndani ndani nateseka, moyo umeuteka
[00:39.80]Huu sio wimbo, tangazo
[00:41.60]Siwezi iih-iih-iih
[00:45.90]
[00:46.40]Mi siwezi iih-iih-iih
[00:50.90]
[00:51.10]Nishajaribu siwezi iih-iih-iih
[00:56.70]
[00:57.10]Mi siwezi iih-iih-iih
[01:02.00]
[01:13.90]Mwenzako picha tu, nikiziona nakwisha boo (boo)
[01:19.10]Nasikitika tu, hivi penzi ndo lilikwisha puuh? (puuh)
[01:25.20]Nishalia nikanyamaza bado sichoki kukuwaza
[01:30.60]Sina wa kuniliwaza, nimeshindwa kujikaza
[01:35.00]Shamba nililiachia wapita njia, sasa hivi wanalihudumia
[01:40.10]Wamelilimia nakupalilia, hadi mazao yameshachipukia (yeah)
[01:46.70]Tulivaa hadi sare sare, couple ilikuwa kale kale
[01:52.10]Yaani marafiki wale wale, leo wanakula pale pale
[01:56.70]Siamini kwangu ulisepa, huko unanenepa huna hata mawazo
[02:01.80]Mi hu...........